POZI la staa wa sinema Bongo, Snura Mushi na Dj Ommy Crazy wa Maisha
Club kama walivyonaswa na kamera ya Tollywood Newz linatoa ishara kwamba
ni wapenzi.
Fukuafukua za kitaani zinaeleza kuwa wawili hao ni wapenzi lakini Snura anafanya siri ili mpenzi wake huyo asiporwe na wajanja.Snura alipoulizwa uhusiano wake na Dj huyo alisema: “Jamani Ommy ni mtu
wangu wa karibu...kama ni suala la picha, napiga na watu wangapi
jamani? Kwa nini iwe kwa Ommy tu?”

No comments:
Post a Comment