EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, March 6, 2013

Vita nyingine Ligi Kuu Bara leo

Vita ya kukwepa kushuka daraja itaonekana tena leo kwa mechi sita za Ligi Kuu Bara kwenye viwanja tofauti.
Viwanja vitakavyotimka vumbi leo ni Mkwakwani(Tanga), Azam Complex (Dar es Salaam) na Sheikh Amri, Arusha
 
Mabingwa wa mwaka 1999, Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya nne ya msimamo itakaza buti dhidi ya Mgambo JKT wanaoshika nafasi ya nane wakiwa na pointi 24 kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Endapo Mtibwa Sugar itafanikiwa kuvuna pointi tatu, itafikisha pointi 31 na kusimama kwenye mstari mmoja na timu za Simba na Coastal Union.

Hata hivyo, licha ya timu hizo kulingana kwa pointi, Simba iko juu ikikamata nafasi ya tatu kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa wakati Union inashika nafasi ya nne.
Nao Maafande wa JKT Oljoro baada ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka Coastal Union katika mechi iliyopita, watarudi Sheikh Amri Abeid kujaribu kuponya jeraha kwa kumenyana na Prisons, wakati African Lyon inayoburuta mkia itaburuzana na Ruvu Shooting katika pambano la Uwanja wa Azam Complex.


Oljoro inayokamata nafasi ya tisa katika msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 22, inafahamu kwamba inahitaji ushindi tu kwenye mchezo huo ili kuepuka kushushwa chini ya Shooting iliyojiweka katika nafasi ya 10 baada ya kujikusanyia pointi 20.
Patashika ya nyingine itaendelea kesho kwa mchezo mmoja tu, ambapo JKT Ruvu itaikaribisha Kagera Sugar katika pambano ambalo matokeo yataamriwa kwenye Uwanja wa Azam Complex.

Ruvu Shooting ya Pwani, imesema mchezo wake dhidi ya African Lyon kwenye Uwanja wa Azam Complex ni sehemu ya mazoezi yao kabla ya mchezo unaofuata dhidi ya Yanga Dar ss salaam .

Ofisa Habari wa timu hiyo, Masau Bwire alisema hawaidharau African Lyon ila kutokuwa na uwezo wa timu wana hakika asilimiaa 99 kuifunga timu hiyo.
Alisema mchezo huo utakuwa sehema ya mazoezi kwa timu yao kujiandaana mchezo dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi, Uwanja wa Taifa.
"Mchezo unaotuumiza kichwa kwa sasa ni ule dhidi ya Yanga, kwani tumepania kufanya maajabu makubwa. Uwezo wa kuifunga Yanga tunaona na tutafanya hivyo," alisema Bwire.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate