Ni
miezi michache imepita tangu video queen wa bongo Agnes Masogange
aadhirike baada ya video yake chafu kusambaa ikionesha waki**** na jamaa
yake.
Lakini sasa inaanza kuonekana kuwa dada huyu hii ni michezo yake
baada leo kupost picha zinazomuonesha wakiwa kimahaba na mpenzi wake
katika mtandao wa instragram.JE HIVI TUKIONA VIDEO NYINGINE AKIWA NA
HUYU MCHIZI TUTASHANGAA AU TUTASEMA NDIO KAZI YAKE?
No comments:
Post a Comment