Habari na GAZETU letu la Risasi.
STADI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani) ameibua upya simanzi, machozi na huzuni ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kifo cha staa aliyeijengea Tanzania heshima kubwa, Steven Charles Kanumba.
Msanii
Elizabeth Michael 'Lulu' (katikati) akijiandaa kuweka shada la maua
kwenye kaburi la Kanumba, kulia ni mama mzazi wa Kanumba, Flora Mtegoa
na kushoto ni mama yake mzazi, Lucresia Kalugira.
Gazeti lenye hadhi ya nyota tano, Risasi Mchanganyiko lina mkusanyiko
wa matukio ya kuhuzunisha kama yalivyonaswa na timu ya mapaparazi wetu,
Jumapili Aprili 07, mwaka huu katika siku maalum ya kumkumbuka,
iliyopewa jina la Kanumba Day.
Lulu ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu Kanumba, yupo nje kwa dhamana akikabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia msanii huyo mwenye mashabiki lukuki ndani na nje ya Bongo.
Lulu ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu Kanumba, yupo nje kwa dhamana akikabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia msanii huyo mwenye mashabiki lukuki ndani na nje ya Bongo.
DAR ES SALAAM
Shughuli hiyo maalum ambayo ililenga kumuombea dua marehemu Kanumba na kumuenzi kwa mema aliyoyafanya iliambatana na uzinduzi wa Filamu ya After Death ambayo inaelezea maisha ya vijana wadogo aliowahi kuigiza nao katika za Sinema za Uncle JJ, This is It na Big Daddy.

Kanumba Day iliandaliwa na staa wa kike wa kiwanda hicho, Jacquline Wolper ambaye pia ndiye muandaaji wa filamu ya After Death.
Katika hafla hiyo, pia ilizinduliwa sinema ya mwisho kutayarishwa na marehemu Kanumba iitwayo Power & Love ambayo iko chini ya Kampuni ya Kanumba The Great.
Katika hafla hiyo, pia ilizinduliwa sinema ya mwisho kutayarishwa na marehemu Kanumba iitwayo Power & Love ambayo iko chini ya Kampuni ya Kanumba The Great.
KWANZA KANISANI
Awali, mishale ya saa 4:00 asubuhi, familia ya marehemu Kanumba, wasanii, ndugu, jamaa na marafiki walijumuika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Temboni katika ibada.
Awali, mishale ya saa 4:00 asubuhi, familia ya marehemu Kanumba, wasanii, ndugu, jamaa na marafiki walijumuika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Temboni katika ibada.
Katikati ya ibada hiyo ya kawaida ya Jumapili usharikani hapo, kulikuwa na sala maalum ya kumuombea marehemu Kanumba.
Utulivu ulikuwa mkubwa kanisani hapo, huku Lulu akiwa katikati ya mama Kanumba, Flora Mtegoa na mama yake mzazi, Lecresia Kalugira wakiwa wamevalia sare ya magauni meupe yenye mchanganyiko kidogo wa rangi na vitambaa vyenye mchanganyiko wa rangi ya pinki na nyeupe vichwani mwao.

Wakati sala ikiendeshwa, Lulu alishindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi – kazi kubwa kwa wazazi hao ikawa kumtuliza.
Baadhi ya mastaa walionaswa na kamera ya Risasi Mchanganyiko kanisani hapo ni pamoja na Jacob Steven ‘JB’, Vincent Kigosi ‘Ray’, Sabrina Rupia ‘Cathy’, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, Jokate Mwegelo, Irene Uwoya na wengineo.
SAA 6:30 MCHANABaadhi ya mastaa walionaswa na kamera ya Risasi Mchanganyiko kanisani hapo ni pamoja na Jacob Steven ‘JB’, Vincent Kigosi ‘Ray’, Sabrina Rupia ‘Cathy’, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, Jokate Mwegelo, Irene Uwoya na wengineo.
Ibada ilifikia kikomo saa 6:30 mchana ambapo msafara wa kwenda nyumbani kwa mama Kanumba, jirani kidogo na kanisa hilo ulianza.
Utulivu ulikuwa wa hali ya juu nyumbani hapo ambapo wageni wote walipata chakula cha mchana kabla ya safari ya kuelekea katika Makaburi ya Kinondoni....
KUSOMA ZAIDI HABARI HII BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment