Kumekuwa na mijadala mingi sana ni namna gani akina dada wanaweza kufanikiwa kumpata mwanaume wampendae.
Kwa mila, jadi na tamaduni zetu si rahisi kumwona Mwanamke akimtongoza Mwanaume.
Katika dunia hii ya utandawazi, je, Mwanamke anaweza kumtongoza Mwanaume ampendaye? Na kama inawezekana ni vipi anaweza kumuanza na atamtongoza vipi? Au bado haimpasi kutongoza?

Wengi wao wanatumia body language kutuma ujumbe huku akiwa anasikilizia
kama utamsoma au vipi.Wakiona kimya wengine wanajaribu na maneno kidogo
japo sio direct lakini anakupa urahisi zaidi wa kusoma ujumbe wake.
Maoni ya mchangiaji wetu waanaweza sana na wanatongoza mara nyingi sana ila mbinu ndiyo tofauti,
Mfano vyuoni utakuta wadada wanaomba msaada wa kufundishwa somo fulani, kumbe si wote huwa kitabu kinawasumbua ila ni kutaka kuwa karibu tu na mkaka ampendaye na huo ukaribu huishia kutongozana bila kujua na wakikubaliana mkaka huamini kuwa yeye ndiye katake advantage ya kuombwa msaada, kumbe the real story is totally different! ukweli ni kuwa yeye ndio katongozwa ila hakujua.

Mwanamke haihitaji kumtongoza mwanaume kwani ishara tu inatosha.

No comments:
Post a Comment