Hili mnalizungumziaje wadau?
Mwanaume...mwanamkeakikufata kukwambia anakupenda utaichukuliaje?
Mwanamke...kama kuna mwanaume unampenda
utamfata kumwambia?utasubiri yeye akufate?na kama hajui kama una hisia
juu yake utafanya nini ajue hilo?
ACHA KUSUBIRI MWANAUME AKWAMBIE ANAKUPENDA,KAMA UNAMPENDA MWAMBIE.....Tu

SI KAZI NDOGO KWA MWANAMKE KUMWAMBIA MWANAUME KUWA ANAMPENDA. UNAJUA NINI, KUMWAMBIA SIO TATIZO. ILA TATIZO LIPO KWENYE JIBU.
ReplyDeleteITAKUWA VIPI PALE MWANAUME AKISEMA KUMWAMBIA MWANAMKE YA KWAMBA MIMI SIKUPENDI KABISA !?
Hapo mwanamke atakwenda haraka haraka kununua Sumu ya panya na kuibugia !
DeleteKwa sababu tafiti zinaonesha kwamba kwamba "Wanawake wanajisikia vibaya sana pale wanapokataliwa na wanaume" kuliko "wanaume wanona poa tu pale wanapokataliwa na wanawake"