Washika bunduki wa
London Arsenal wakicheza Ugenini kwa QPR Loftus Road Uwanja uliojengwa mwaka
1904, Bao la Theo Walcott la sekunde 20 tu baada ya kipenga cha Refa Jon Moss
kupulizwa limewapa ushindi mtamu Arsenal na kupanda hadi nafasi ya tatu wakiwa
na alama 67 chini ya Manchester City wenye Pointi 72 ambao pia leo wametoshana
nguvu ya bila kufungana na timu ya Swansea City iliyopanda Daraja msimu huu
unaomalizika hivi karibuni.

Ushindi huu pia unampa
nafasi tena baada ya kutoka suruhu wiki iliyopita walipocheza na United. Ngoma
inabaki kwa Chelsea ambao pia bado wanamichezo mingi na huku wakiwa na alama 65
sawa na Spurs wakipitwa na alama 2 tu, hivyo Arsenal bado wapo kwenye hali tete
kwani timu hizo zikicheza na kupata ushindi zitamgoa Arsenal nafasi hiyo ya
tatu.
Arsenal sasa wamebakisha
michezo 2 tu kufunga msimu huu na kujihakikishia nafasi ya kuwemo kwenye 4 bora
ili kushiriki kombe la UEFA Champions.Gunners Pia wanabakiwa na mchezo
nyumbani kati ya Wigan utakao chezwa tarehe 14 mwezi wa tano siku ya Jumanne saa
9:45 mchana na kisha kuelekea








No comments:
Post a Comment