Joyce Kiwia akitoa ushuhuda wa maisha yake kwa wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam, waliofika katika kongamano
la elimu kwa jamii ya kupambana na aina zote za unyanyasaji na
udhalilishaji lililoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya
Shikamana, ambapo hutoa mafunzo mbalimbali kwa vijana wa shule za
sekondari, Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ustawi
wa Jamii jijini, leo.

Mratibu na Mwanzilishi wa Taasisi ya Shikamana, Brittany Karima, akitoa hotuba kwa
wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Dar es Salaaam waliofika
katika Kongamano la shikamana, juu ya shughuli wanazofanya, Shikamana ni
waletao mabadiliko wanajitolea kutoa elimu kwa jamii ili kupambana na
aina zote za unyanyasaji na udhalilishaji.Wamashikamana wanaamini kwamba
usawa unahitajika katika mahusiano ya Kimapenzi na katika Jamii kwa
ujumla.
No comments:
Post a Comment