STAA mrembo wa Kibongo aliyewakilisha Tanzania kwenye Shindano la
Miss World 2012, Lisa Jensen kwa sasa anaitwa mama kijacho baada ya
kutundikwa mimba kabla ya ndoa.
Akizungumza Lisa alithibitisha kuwa
ni mjamzito na kusema mimba hiyo ni ya halali kwa kuwa tayari yupo
kwenye uchumba rasmi ingawa hakutaja jina mhusika.
Ujauzito wa Lisa unatajwa kuwa mfano wa kuigwa kwa warembo, tofauti na baadhi ya mastaa wa Kibongo ambao wamekuwa wakiingia kwenye uchumba na wapenzi wao kisha kuishia njiani kwa kuchoropoa mimba.
Ujauzito wa Lisa unatajwa kuwa mfano wa kuigwa kwa warembo, tofauti na baadhi ya mastaa wa Kibongo ambao wamekuwa wakiingia kwenye uchumba na wapenzi wao kisha kuishia njiani kwa kuchoropoa mimba.
No comments:
Post a Comment