Kutoka kushoto ni Fredrick Simon (12), Lushindiho Simkonda (10) na Colyns John (8) wakiwa na mzigo wa tofali.
Anna Simon (8) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ikuti darasa la tatu akiwa amebeba tofali.
...Anna na Colyns wakiwa wamebeba mzigo miguuni wakiwa peku majira ya saa 7 mchana ambapo wenzao wanakuwa darasani.
Fredrick (kushoto) akimsihi Colyns asilie maana anakaribia kufika.
PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG
No comments:
Post a Comment