Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa ufafanuzi wa CCM juu ya
Rasimu ya Katiba mpya katika mkutano uliofanyika Mwanza siku ya jana na
kuwakutanisha vijana wa makundi mbali mbali.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Dk.Anthony Dialo akichangia mada juu ya umuhimu wa serikali mbili kwa Tanzania.
Mwenyekiti
wa Vijana wa CCM Mkoani Mwanza Sixbert Ruben akielezea umuhimu wa
vijana wa Mwanza katika kushiriki kwa kwenye mchakato wa Katiba mpya.
Sehemu
ya Vijana walioshiriki katika mjadala wa mchakato wa Katiba mpya
uliofanyika siku ya jana katika ukumbi wa chuo cha mafunzo Benki Kuu mkoani
Mwanza ambapo vijana zaidi ya mia sita walihudhuria.
No comments:
Post a Comment