Jarida
la The Daily Star pia limeripoti kwamba Chelsea itaongeza ofa yao kwa
ajili ya nyota wa kimataifa wa Uingereza hadi pauni milioni 40.
Hata
hivyo Jose Mourinho aliwaambia maripota kwamba Torres hawezi kufanya
muujiza wowote msimu ujao lakini Chelsea inapaswa kumbeba.
Aliyekuwa
shabaha ya Chelsea ya awali, Radamel Falcao ameiwezesha AS Monaco
kuisambaratisha Spurs kwenye mechi za kirafiki za kujiandaa kuanza
msimu.
Tetesi za usajili zinaendelea lakini inaonekana sasa kwamba Wayne
Rooney anaweza kubaki Manchester United msimu ujao.
No comments:
Post a Comment