ALIYEKUWA mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam, Patrick Rweyongeza, na aliyeuawa na majambazi juzi
Jumatano maeneo ya Magomeni jijini Dar es Salaam akitokea Benki ya
NBC Ubungo na kuporwa shilingi milioni tano , anategemewa kusafirishwa
kesho kwenda kijiji cha Lunguya, Tabora vijijini kwa mazishi.
PICHA NA MAKONGORO OGING'/ GPL
No comments:
Post a Comment