Mkurugenzi Mtendaji wa
Banki ya Barclays Tanzania Kihara Maina akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Wizara ya Fedha na
Uchumi Dkt. William Mgimwa katika hafla
ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions).Uzinduzi
huo uliyofanyika SIKU YA JANA kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Waziri wa Wizara ya Fedha na Uchumi Dkt.
William Mgimwa akiongea na viongozi, wawezeshaji na wateja wa Benki ya Barclays Tanzania wakati wa
hafla ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management
Solutions) iliyofanyika siku ya jana kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam
Mjumbe wa bodi ya benki
ya Barclays Tanzania Fatma Karume (kulia) akisisitiza na kufurahia jambo
alipokuwa anaongea na Mgeni Rasmi (hayupo kwenye picha) wakati wa hafla ya uzinduzi
wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management
Solutions) iliyofanyika siku ya jana kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni mjumbe wa bodi ya benki hiyo Suleiman Mohamed.
Baadhi
ya washiriki wa
semina ya udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk
Management
Solutions) wa Benki ya Barclays wakihudhuria hafla ya uzinduzi huo
uliofanyika siku ya jana kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam. (Picha zote na Eleuteri
Mangi-Maelezo)
No comments:
Post a Comment