EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, October 7, 2013

Azam TV, Yanga wapambana Dar

VIONGOZI wa Yanga nusura wazuie Kituo cha Televisheni cha Azam kuonyesha laivu mechi baina ya Yanga na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Azam TV, ambayo ilianza kurusha matangazo yake kupitia televisheni ya Taifa (TBC1) juzi Jumamosi baina ya Simba na Ruvu Shooting ilijiandaa pia kuonyesha mechi ya jana Jumapili kati ya Yanga na Mtibwa kabla ya kuzuiwa kwa muda na viongozi wa klabu ya Jangwani

Hata hivyo, Azam TV ilionyesha mechi hiyo kipindi cha pili, licha ya viongozi wa Yanga kutishia kuwa mashabiki wao wangefanya vurugu iwapo mechi hiyo ingeonyeshwa.
 
 Mpiga Picha wa Azam TV akiwajibika uwanjani.
Mratibu wa Azam TV, Patrick Kahemele aliliambia Mwanaspoti jana Jumapili jioni kuwa walifuatwa na viongozi wawili wa Yanga (anawataja) ambao waliwazuwia wasionyeshe mechi hiyo.

“Walituambia (viongozi wa Yanga) kuwa kama hatutaondoa kamera zetu, wangewaambia mashabiki wafanye vurugu, na hatukutaka shari, hivyo tukalazimika kuondoa kamera zetu kwa muda,” alisema Kahemele.


“Hata hivyo baada ya kufanya mazungumzo na uongozi wetu wa juu wa Azam Media, wakatuambia kuwa tuonyeshe mechi kwa sababu tupo kazini na tuna mkataba rasmi,” alifafanua Kahemele.
Kahemele alisema licha ya kuanza kuonyesha mchezo huo kipindi cha pili hakukuwa na vurugu zozote na wamegundua kuwa viongozi wa Yanga wamekuwa wakiwasingizia bure mashabiki wao.

Yanga wamekuwa wakigomea kusaini mkataba ambao klabu nyingine 13 zilisaini kwa ajili ya kuonyeshwa laivu kwa mechi za Ligi Kuu Bara na kituo cha Azam TV.
Wakati kila klabu ikipewa Sh100 milioni, Yanga ilisusia kiasi hicho kwa madai kuwa ni fedha ndogo na hasa ukizingatia kuwa ina mashabiki wengi nchini.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah alisema watakutana kujadili suala hilo, lakini akasisitiza kuwa Azam TV wanaruhusiwa kuonyesha mechi zote za Ligi Kuu wanazotaka.CHANZO NI MWANASPORTS.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate