Mapema
 asubuhi ya siku ya jana kupitia account yake ya Instagram mwanadada Wema 
alitupia picha ya gazeti hilo lililo mchafulia jina kwa kumuandika kuwa "Wema Kunyongwa China Awaomba Watanzania Wamuombee".Pia
 dakika chache zilizopita kupitia account yake hiyohiyo ya Instagram 
wema amefunguka zaidi kwa kitendo hicho cha kuchafuliwa jina na kuandika
 hivi ... 
Soma hapa chini ...

No comments:
Post a Comment