EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, October 3, 2013

MAN CITY YAFUMULIWA NYUMBANI NA BAYERN HADI AIBU, MAN UNITED DROO, REAL YAUA 4-0.

MABINGWA wa Ulaya, Bayern Munich wameonyesha soka ya kiwango cha juu na kuifumua nyumbani Manchester City mabao 3-1 Uwanja wa Etihad.
 
Yalikuwa mabao ya wachezaji bora duniani Mfaransa Franck Ribery dakika ya , Mjerumani Thomas Muller dakika ya na Mholanzi Arjen Robben dakika ya yaliyoizamisha City katika mchezo huo wa Kundi D.
 
Makosa ya kipa Joe Hart na walinzi wake yaliigharimu City leo kabla ya Alvaro Negredo kutokea benchi kwenda kufunga bao la kufutia machozi dakika ya - huku beki wa Bayern Jerome Boateng akitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Yaya Toure dakika ya.
 
Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Hart, Richards, Kompany, Nastasic, Clichy, Toure, Fernandinho, Jesus Navas, Aguero, Nasri/Silva dk70 na Dzeko/Negredo dk57.
Bayern Munich: Neuer, Rafinha, Boateng, Dante, Alaba, Lahm, Robben/Shaqiri dk78, Schweinsteiger/Kirchhoff dk76, Kroos, Ribery/Gotze dk85 na Muller. 
Celebration: Bayern Munich's Thomas Muller (right) celebrates with team-mates after making it 2-0
Celebration: Bayern Munich's Thomas Muller (right) celebrates with team-mates after making it 2-0
No match: Frank Ribery (right) runs the ball past City's right-back Micah Richards
No match: Frank Ribery (right) runs the ball past City's right-back Micah Richards
Turn on the style: Arjen Robben of Muenchen celebrates his team's third goal
Turn on the style: Arjen Robben of Muenchen celebrates his team's third goal
Not enough: Manchester City's Yaya Toure (right) and Bayern Munich's Toni Kroos in action
Not enough: Manchester City's Yaya Toure (right) and Bayern Munich's Toni Kroos in action
Late scare: Jerome Boateng was sent off for Bayern Munich for a late tackle on Yaya Toure
Late scare: Jerome Boateng was sent off for Bayern Munich for a late tackle on Yaya Toure
Old enemy: Muller gets past England keeper Joe Hart to score
Old enemy: Muller gets past England keeper Joe Hart to score
Winning style: Bayern Munich manager Pep Guardiola celebrates his side's third goal
Winning style: Bayern Munich manager Pep Guardiola celebrates his side's third goal
Comeback? Alvaro Negredo strikes home for City to make it 3-1
Comeback? Alvaro Negredo strikes home for City to make it 3-1
Flying the flag: Bayern fans hold aloft scarfs as they cheer their side on at the Etihad
Flying the flag: Bayern fans hold aloft scarfs as they cheer their side on at the Etihad

Katima mchezo mwingine, kocha David Moyes wa Manchester United alilazimishwa sare ya 1-1 Shakhtar Donetsk Uwanja wa Donbass Arena.
Danny Welbeck alitangulia kuifungia United dakika ya 18 kabla ya Taison kuwasawazishai wenyeji dakika ya 76.
Shakhtar Donetsk: Pyatov, Srna, Kucher, Rakitskiy, Shevchuk, Fernando/EeIlsinho dk84, Hubschman, Taison/Bernard dk90, Alex Teixeira, Douglas Costa na Luiz Adriano/Ferreyra dk90). 
Manchester United: De Gea, Rafael Da Silva, Smalling, Vidic, Evra, Valencia, Carrick, Fellaini/Giggs dk66, Cleverley, Welbeck/Jones dk90 na van Persie.
Leveller: Taison slams home past David De Dea to bring Shakhtar Donetsk on terms
Leveller: Taison slams home past David De Dea to bring Shakhtar Donetsk on terms
Taison

Job Wel done: Man United edged in front in the 18th minute at the Donbass Arena

Job Wel done: Man United edged in front in the 18th minute at the Donbass Arena
Danny Welbeck celebrates his goal
History: Giggs replaces Marouane Fellaini midway through the second half to make his 145th appearance
History: Giggs replaces Marouane Fellaini midway through the second half to make his 145th appearance

Real Madrid imeifumua mabao 4-0 FC Copenhagen mawili akifunga Angel Di Maria na mawili Cristiano Ronaldo, ambaye amesherehekea kucheza mechi ya 100 michuano ya Ulaya.
Ronaldo ametimiza mabao 212 katika mechi 208 alizocheza Madrid – na sasa mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester United amefunga mabao 40 katika mechi 42 za Ligi ya Mabingwa akiwa Real.
Real Madrid: Casillas, Carvajal, Pepe, Varane, Marcelo, Di Maria, Modric/Isco dk67, Khedira/Morata dk74, Illarramendi, Benzema/Jese dk81 na Ronaldo.
FC Copenhagen: Wiland, Jacobsen, Mellberg, Sigurdsson, Bengtsson, Gislason, Delaney, Claudemir, Toutouh/Bolanos dk63, Braaten/Adi dk67, Jorgensen/Kristensen dk72.
All white on the night: Cristiano Ronaldo celebrates with his Real Madrid team-mates after opening the scoring
All white on the night: Cristiano Ronaldo celebrates with his Real Madrid team-mates after opening the scoring
Head boy: Ronaldo completed a fine attacking move to score Real Madrid's first goal at the Bernabeu
Head boy: Ronaldo completed a fine attacking move to score Real Madrid's first goal at the Bernabeu
Cristiano Ronaldo
Game over: Angel Di Maria completed the scoring as Real Madrid eased to victory over Copenhagen
Game over: Angel Di Maria completed the scoring as Real Madrid eased to victory over Copenhagen

Bao la dakika ya mwisho la Umut Bulut limeinusuru Galatasaray kuzama chini ya kocha wake mpya, Roberto Mancini kwa kupata sare ya 2-2 mjini Turin mbele ya Juventus.
Didier Drogba alitangulia kipindi cha kwanza kuifungia timu hiyo ya Uturuki, lakini Juventus ikasawazisha na kufunga la pili kupitia kwa Arturo Vidal na Fabio Quagliarella kabla ya Bulut kuiokoa timu yake mwishoni mwa mchezo.
Juventus: Buffon, Barzagli, Bonucci, Chiellini, Lichtsteiner, Pirlo, Asamoah, Vidal, Pogba, Tevez, Vucinic. 
Galatasaray: Muslera, Eboue, Kaya, Chedjou, Riera, Felipe Melo, Inan, Balta, Sneijder, Bruma, Drogba. 
In the goals: Didier Drogba celebrates after scoring against Juventus
In the goals: Didier Drogba celebrates after scoring against Juventus
Eyes on the prize: Juventus striker Carlos Tevez came up against his former City manager Mancini
Eyes on the prize: Juventus striker Carlos Tevez came up against his former City manager Mancini
Going for glory: Juventus midfielder Paul Pogba takes an acrobatic shot
Going for glory: Juventus midfielder Paul Pogba takes an acrobatic shot
Beating his man: Juventus forward Mirko Vucinic beats Galatasaray midfielder Felipe Melo
Beating his man: Juventus forward Mirko Vucinic beats Galatasaray midfielder Felipe Melo
Crowded out: Juventus' Mirko Vucinic is challenged by Bruma and Felipe Melo of Galatasaray
Crowded out: Juventus' Mirko Vucinic is challenged by Bruma and Felipe Melo of Galatasaray

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate