STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amekiri kuwa huwa anatumia sigara ‘fegi’ ili kuondoa mawazo.
Wema Sepetu
Wema alifunguka hayo juzikati kupitia kipindi chake cha In My Shoes
kinachorushwa na Runinga ya East Africa ambapo alikuwa akifungukia
maisha yake likiwemo suala hilo la kuvuta sigara.
“Huwa navuta sigara pindi ninapokuwa na mawazo, nikivuta huwa inanisaidia kupunguza na kunifanya niwe vizuri,” alisema Wema.
No comments:
Post a Comment