Haya ni baadhi ya maneno mapya yaliyoanza kuibuka kwenye
mitandao mbalimbali ya kijamii na isiyo ya kijamii nchini kufuatia
kuzagaa kwa picha za "kimahaba" kati ya mwanamuziki Diamond Platnumz na
mwanadada wa bongo movies Wema Sepetu kuwa wawili hawa wamerudia tena
penzi lao la zamani.
Wazungu wanasema, kama hujafanya utafiti
hauna haki ya kuzungumza...
Wema, Diamond na binamu yake Romeo wakiwa Hong Kong
Wema, Diamond na binamu yake Romeo wakiwa Hong Kong
1. ETI…
Martin kadinda ambaye ni manager wa wema anaujua mchezo wote.
Alikuwa anamchora tuu peny na “kitanda cha maua” (Sio jukumu lake
kumwambia penny hata hivyo)
2. ETI…
Chain ya Wema na diamond zinafanana. Kwakuwa walinunua pamoja na
zaidi ya hilo Wema alimpa Diamond simu kama yake (Inafanana na simu y
wema) kama birthday gift ila Diamond akazuga kapewa na jamaa tuu
hukooooo
3. ETI…
Hayo yote yakiendelea kutokea, inasemekana Penny ana “kitumbo” aka ujauzito wa Diamond Platnumz
4. ETI…
Wanaosubiri hiyo movie ya Diamond na wema iliyopewa jina la
“Temptations” watasubiri mpaka miguu iingie tumboni maana haitakaa
itoke milele.
5. ETI...
Ukiichunguza vizuri sehemu ya "zipu" ya Diamond Platnumz
(pichani) utagundua jamaa huyu alikuwa kwenye "hisia kali sana" mda huo
Jamani haya sio maneno yetu bali ni maneno yanayosemwa hukooo
kwenye mitandao. Kazi ni kwako! Sisi kazi yetu ni moja tuu,
kukuhabarisha!
CREDIT:BONGO MOVIE
No comments:
Post a Comment