AMANI
 hamjambo? Kama ada tumekutana kwenye kona yangu Naa miye, nina imani 
msemaji ni mmoja siku zote, mshereheshaji  akizungumza wote mnakuwa 
wasikilizaji mpaka atakapotoa ruhusa. Hapo ndipo nilipokuwa napataka, 
baada ya kuwa kimya sasa nisikilizeni nataka kuzungumza nini.
Leo sitakuwa mzungumzaji bali kumkaribisha mzee mwenzangu Babu Poa, 
ambaye mlimmisi muda mrefu. Mzee mwenzangu alikuwa katika honeymoon, 
mwenzenu na utu uzima wake kaongeza mke wa nne, safari hii kaoa mtoto 
mbichiii utamwambia nini?
Nina imani amerudi na mambo mapya hasa baada ya kusoma mada yangu ya 
wiki jana niliyozungumzia kumpa mgonjwa dozi kamili na wala usizidishe 
kwa vile inaweza kuwa sumu itakayomdhuru. 
Baada ya kuisoma mada yangu ya wiki jana, naye aliomba wiki hii akandamizie juu yake ili kuwapa wanaume elimu bure. Sikutaka kuwa mzungumzaji saana bali kumkaribisha mwenyewe, Babu Poa karibu.
Baada ya kuisoma mada yangu ya wiki jana, naye aliomba wiki hii akandamizie juu yake ili kuwapa wanaume elimu bure. Sikutaka kuwa mzungumzaji saana bali kumkaribisha mwenyewe, Babu Poa karibu.
“Asante Bi Nasra, sitaki kuzunguka sana bali kwenda kwenye kusudio la
 mimi kuwa hapa. Jamani leo nataka kugandamizia juu ya mada ya wiki 
jana, nina imani kila mmoja aliisoma na kuona jinsi wanaume wengi 
tunavyotumia  nguvu nyingi  katika tendo la ndoa bila akili na kulifanya
 kuwa mateso badala ya starehe.
 
 Siku zote mapenzi ni raha na 
mkimaliza mpeane asante na mabusu, siyo mwenzio kageukia ukutani huku 
kakunja uso na ugonjwa wa tumbo juu.
Wewe ukinyanyuka unajiona mwanaume kwa kumuumiza mwenzio hata, 
ukitaka tena hawezi kwa vile tayari ushamtia ugonjwa. Hebu tegeni sikio 
ili tuligeuze  tendo la ndoa burudani na si mateso. Leo nimeona kuna 
umuhimu wa kuwarudisha wanaume darasani ili tufanye wapenzi wetu 
wafurahie safari na mkifika mwisho kila mtu atue mzigo wake salama huku 
mkishangilia kwa raha ya safari.
Jamani  sote tunajua huwezi kuingia shambani na kuanza kulima bila 
kufanya maandalizi. Vivyo hivyo katika mapenzi. Hakika kabla ya 
kumuingilia mwenzio muandae kwa kuzigusa sehemu zenye kuleta msisimko 
ambazo hufanya akili na mwili kujiandaa kwa kufungua njia huku 
ukitengeneza ute ili mkikutana msiumizane wala kuchubuana.
Kama huzijui, mshike taratibu kwenye nyayo, chuchu kwenye pachipachi 
zote kichwani  kunyonya ndimi taratibu. Sehemu hizi ukizigusa  taratibu 
humtengeneza mwanamke na kuwa tayari kwa tendo. 
Nini kinatakiwa kufuatwa baada ya hatua ya awali kutekelezwa kwa umakini? Si kingine ni tendo lenyewe. Sehemu hii wengi tunaikosea kwa kutumia nguvu nyingi bila kujua urefu wa kina cha maji tunaingiza mguu.

Sehemu hii inataka akili nyingi na ufundi kuliko nguvu kwa vile 
unayefanya naye mapenzi ni mwanadamu siyo gogo hivyo inatakiwa  kutumia 
akili nyingi na nguvu kidogo. Hata katika mitindo ya mapenzi wakati wa 
tendo lazima tuyajue maumbile ya wenzetu kuliko kuwaumiza bila kujua.
Usimpinde mwenzio wakati ukijua maumbile yake mafupi na yako marefu, kwa kufanya hivyo lazima utamletea matatizo ya tumbo hata kumsababishia kushindwa kuzaa.
Usimpinde mwenzio wakati ukijua maumbile yake mafupi na yako marefu, kwa kufanya hivyo lazima utamletea matatizo ya tumbo hata kumsababishia kushindwa kuzaa.
Tunatakiwa tutumie mitindo yenye kuleta raha na si maumivu kama 
ilivyoelezwa na Anti Nasra wiki jana. Tukifanya hivyo lazima wapenzi 
wetu watafurahia  na kutamani tena na si kulichukia tendo hilo.
Kwa leo yangu yanatosha niwarudisheni kwa Anti Nasra amalizie.”
Asante Babu Poa nina imani kila kitu umekiweka wazi, jamani wanaume tupeni raha si karaha yangu kwa leo ni hayo tukutane wiki ijayo.
Kwa leo yangu yanatosha niwarudisheni kwa Anti Nasra amalizie.”
Asante Babu Poa nina imani kila kitu umekiweka wazi, jamani wanaume tupeni raha si karaha yangu kwa leo ni hayo tukutane wiki ijayo.
Ni mimi Anti Nasra, Shangingi Mstaafu. 
 
No comments:
Post a Comment