STAA wa filamu Bongo, Jacqueline
Wolper amefunguka kuwa suala la yeye kuachana na aliyekuwa mpenzi wake,
Abdallah Mtoro ‘Dallas’ halikusababishwa na ukata kwani yeye hakufuata
fedha kwa mwanaume huyo.
“Sikufuata
pesa kwa Dallas, pesa ni pesa na mapenzi ni mapenzi. Kama ni pesa
nilikuwa nazo na hata kabla sijawa naye na sasa pia ninazo, waniache,”
alisema Wolper.
Source GPL
No comments:
Post a Comment