EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Friday, November 1, 2013

UNIC YAFURAHI NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI JIJINI DAR‏


IMG_1962
Msaidizi wa Maktaba ya kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Harriet Macha akiwaelezea wanafunzi umuhimu wa kuwa na Maktaba mashuleni mwao pamoja na kujijengea tabia za kupenda kujisomea.
IMG_1891
Wanafunzi wakifurahi wakati wa Fun Thursday inayofanyika kila Alhamis ya mwisho wa mwezi na kuratibiwa na Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC).

Pichani juu na chini ni Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Usia Nkhoma Ledama akizungumza na wanafunzi wa shule za msingi za Zanaki, Diamond, Kisutu na Muhimbili katika siku maalum inayotambulika kama "Fun Thursday" na kufanyika Alhamis ya mwisho wa mwezi. Bi. Ledama ametumia siku hiyo kuwaelimisha wanafunzi kuhusiana na kazi mbalimbali zinazofanywa na mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini yakiwemo Malengo ya Milenia ambayo ni Kutokomeza umaskini uliokithiri na njaa, Elimu ya Msingi kwa wote, Usawa wa kijinsia na fursa sawa kwa wanawake, kupunguza vifo vya watoto wachanga, Upatikanaji wa huduma bora za uzazi, kupambana na Ukimwi, Malaria na magonjwa mengine, kulinda mazingira pamoja na kujenga mshikamano wa kimaendeleo duniani. Fun Thursday imefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za UNESCO jijini Dar leo.
IMG_1821
IMG_1887
Wanafunzi wakimsiliza kwa umakini wakati Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Usia Nkhoma Ledama (hayupo pichani) wakati akiwapiga msasa kuhusiana na kazi mbalimbali zinazofanywa na mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini.
IMG_1782
Mwalimu Nicholaus Massawe wa shule ya msingi Zanaki akibadilishana mawazo na Mwalimu Rahel Fute wa Shule ya msingi Diamond wakati wa Fun Thursday iliyowakutanisha wanafunzi kutoka shule za msingi mbalimbali za jijini Dar.
IMG_1930
Mratibu wa Mkoa kutoka Asasi ya Vijana wa Umoja wa Mataifa (YUNA) Innocent Mkota akiwasisitiza wanafunzi umuhimu wa kujiunga na vilabu vya Umoja wa Mataifa mashuleni.
IMG_1940
Wanafunzi wa shule za mbalimbali za msingi jijini Dar es Salaam wakifuatilia Documentary fupi iliyomshirkisha msaani wa muziki wa Marekani Beyonce na wimbo wake wa "I was here" inayoenyesha kazi mbalimbali zinazofanywa na mashirika ya Umoja wa Mataifa Duniani.
IMG_2023
Mwalimu Kalabo Mushumbusi kutoka shule ya Msingi Muhimbili akitoa shukrani kwa kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC kuwa kuwaelimisha wanafunzi wao kuhusiana na kazi mbalimbali ya Umoja Mataifa nchini.
IMG_1980
Wanafunzi wa shule za msingi jijini Dar wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) pamoja na walimu wao nje ya ukumbi wa mikutano wa Ofisi za UNESCO.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate