Waziri
wa Elimu, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza na waandishi wa Habari mara
baada ya kutembelea banda ya Arusha Technical College. Chuo hicho
kinatoa mafunzo ya Uchakataji madini na kutoa wataalamu wanaokubalika
katika soko.
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa akipokea
Maelezo mafupi kuhusu Kozi ya Ukataji Madini na Utengenezaji wa Vito vya
thamani kutoka kwa Bi. Shahzimin Premji alipotembelea banda la Chuo cha
Ufundi Arusha (ATC).
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa akiangalia
kwenye chombo maalum cha kupimia wakati alipotembelea Banda la Chuo cha
Ufundi Arusha.
Mkuu
wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika (Kushoto) alimkabidhi
Waziri wa Elimu, Dkt. Shukuru Kawambwa moja wa Vito vya thamani
vilivyochongwa na wanafunzi wanaosoma Kozi ya Ukataji madini Chuo cha
Ufundi Arusha.
No comments:
Post a Comment