Baadhi ya wasanii wa sanaa
mbalimbali Bongo na kueleza maoni yao kuhusiana na utabiri huo. Wa
kwanza kuzungumza alikuwa ni Single Mtambalike ‘Richie’ aliye msanii wa
filamu ambaye alisema:
“Namwamini Mungu kwa asilimia zote, hata kama kitatokea kifo mbele
yetu nina imani kitakuwa na sababu kama ugonjwa na kadhalika, siyo
ghafla."
SHAMSA FORD
"Unajua ibada ndiyo kitu cha kwanza kutuokoa, mimi natoa rai kwa wenzangu wakumbuke kuomba kila mtu kwa imani yake tutashinda tu."

AUNT EZEKIEL
"Haya yanayotokea inabidi tujifunze na yaliyopita, mimi kwangu naona kama changamoto nyingine. Naahidi kumtukuza Mungu ili niepukane na balaa hili."

BEN POL
Huyu ni mkali wa R&B, yeye alisema: “Tukazane kumuomba Mungu kwa njia yoyote ile tutashinda hili jaribu."

SNURA MUSHI
Aliibukia kwenye filamu lakini sasa yupo pia kwenye muziki, akiwa ametambulishwa na kibao chake cha Majanga. Yeye alisema: “Mwaka uliopita ulikuwa wa majanga sana, nawashauri wenzangu tukimbilie sala maana ndiyo kimbilio letu la mwisho."

CHANZO NI GPL
No comments:
Post a Comment