
Tuzo za The Woman Of The Year
zinatarajiwa kutolewa Jumamosi wiki hii Machi 29, mjini Dodoma kuanzia
saa 1:30 usiku ndani ya Ukumbi wa The African Dream. Hafla hii ni kwa
wageni waalikwa na waheshimiwa wajumbe wa Bunge la Katiba, mgeni rasmi
atakuwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda.
No comments:
Post a Comment