Meneja
wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto) akitoa
maelezo ya utangulizi wakati wa ufunguzi wa kikao cha Timu ya Uendeshaji
wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT) kikijadili mchakato wa
kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika
Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha
kwanza kilifanyika leo Machi 25, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya
Mji wa Korogwe, Tanga. Pembeni ni mgeni rasmi aliyekaribishwa kufungua
kikao hicho, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis
Kalinjuna (katikati) na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji Korogwe, Jerry
Mwakanyamale (kulia).
Mganga
Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia)
akiongea wakati wa kumkaribisha mgeni rasmi Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna (Katikati) katika ufunguzi wa kikao
cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT)
kikijadili mchakato wa kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya
Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi
(TIKA). Kikao hicho cha kwanza kilifanyika leo Machi 25, 2014 katika
ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga. Pembeni ni Meneja wa
Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto).
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna (katikati)
akifungua kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri
(CHMT) kikijadili mchakato wa kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya
ya Jamii (CHF) kwenda katika mfumo wa afya ya Jamii mijini wa Tiba kwa
Kadi (TIKA). Pembeni kushoto ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji
Korogwe, Jerry Mwakanyamale na Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga,
Bw. Ally Mwakababu (kushoto). Kikao hicho cha kwanza kilifanyika leo
Machi 25, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.
Wajumbe wa Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga (CHMT) wakifuatilia kwa makini.
Wajumbe wa Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga (CHMT) wakifuatilia kwa makini.
Wajumbe wa Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga (CHMT) wakifuatilia kwa makini.
Mwenyekiti
wa Kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri ya
Korogwe, Tanga (CHMT), Bw. Salim Bori (Kushoto) akijadili jambo wakati
wa kikao cha majadiliano. Pembeni ni Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji
Korogwe, Rabeca Balisidya (katikati) na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya
mji Korogwe, Jerry Mwakanyamale (kulia).
Afisa
Matekelezo na Uratibu wa Bima ya Afya, Singida Bw. Issaya Shekifu
akiwapa uzoefu jinsi wao walivyofanikiwa kwenye mchakato wa kubadilisha
sheria ndogo ya CHF kwenda kwenye TIKA na Jinsi CHF inavyofanya vizuri
wilayani Iramba kwa kauli mbiu ya "Kuku mmoja CHF na matibabu mwaka
mzima.
Mwanasheria
wa Halmashauri ya Mji Korogwe, Rabeca Balisidya (katikati) akijadiliana
jambo na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji Korogwe, Jerry Mwakanyamale
(kulia). Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
No comments:
Post a Comment