MIEZI michache baada ya kutoka kujifungua,
staa wa sinema Bongo, Riyama Ally (pichani) amefunguka kuwa amefurahia
kupungua unene kwa mazoezi aliyoyafanya kwani sasa ameanza kuigiza.

Akizungumzia
mikakati yake mipya, Riyama alisema: “Bila kupungua nisingeweza kuigiza
kama zamani, sasa nimeigiza sinema ya Likwata.”
No comments:
Post a Comment