Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar amefunguka kuwa mastaa wengi wa kike Bongo Movies wanajitongozesha wenyewe.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar.
Akifunguka kwa sharti la kutowataja majina wahusika, alisema anayo
listi ndefu ya mifano ya wasanii ambao wanapenda kujitongozesha hivyo ni
vyema wakaacha maana siyo tabia nzuri.

“Ni
aibu kwa mastaa wa kike, niwasihi waache hako kamchezo maana
kanawashushia heshima mbele ya jamii, wasinichukie, naongea ukweli,”
alisema Slim.
No comments:
Post a Comment