EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, March 17, 2014

WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MAADHIMISHO YA 26 YA WIKI YA MAJI KITAIFA

 Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe (katikati), akikata utepe kuzindua rasmi maadhimisho ya 26 ya wiki ya maji yanayofanyika kitaifa katika uwanja wa jamuhuri Mkoani Dodoma Machi 16-22,2014 (kushoto), Katibu Mkuu wa wizara hiyo  Enjinia Bashir  Mrindoko, na kulia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Rehema Nchimbi.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Rehema Nchimbi akiongea  kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, kuhusiana na maendeleo ya miundo mbinu ya maji  kupitia mpango wa matokeo  makubwa sasa.
  Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe akisoma hotuba yake Machi 16, 2014 wakati akizindua rasmi maadhimisho ya 26 ya wiki ya maji yanayofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamuhuri Mkoani Dodoma,mara baada ya kufanya uzinduzi huo Waziri Maghembe, amewataka wananchi kuacha kutumia kuni na mkaa kwa matumizi ya nyumbani  na badala yake kutumia gesi kama nishati mbadala Maadhimisho hayo yanayolenga kuelimisha jamii juu ya matumizi bora ya maji na mazingira , huku kauli mbiu ikiwa ni Uhakika wa Maji na Nishart.
 Baadhi ya viongozi wa serikali pamoja wananchi  wakishuhudia uzinduzi huo.

  Kikundi cha ngoma cha asili ya Kigogo kikitoa burudani kwenye maadhimisho ya 26 ya wiki ya maji yanayofanyika kitaifa mkoani Dodoma.

 Kikundi cha ngoma cha JKT kikitoa burudani.
 Mhandisi Uendeshaji kutoka DUASA, Luchanganya Nkonogumo akimuelezea Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe kuhusiana na kifaa cha kisasa kwajili ya kipimia mifereji ya maji.
 Mhandisi Mkuu Wizara ya Maji, Mwanaidi Muyimondi akimunyesha Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe takwimu wa ufatiliaji wa maji vijijini.baada ya kutembelea banda la Wizara ya Maji.
 Meneja Masoko wa Kapuni ya Pipes Industries Ezra Chiwelesa akimuelezea Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe kuhusiana pampu za kusafirishia maji pamoja na ufanyaji kazi wake.
Waziri wa Maji Jumanne Maghembe akisalimiana na wanafunzi wa shule mbalimbali mara baada ya kuzinua maadhimisho hao.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate