Sehemu ya kingo za barabara zikionekana kumegwa na mafuriko hayo.
Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea.
Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea.
Mkazi wa Jangwani akihojiwa na waandishi wa Global Tv.
Mmoja wa waathirika wa mafuriko akiwaelekeza waandishi wetu jambo.
Mmoja wa waathirika wa mafuriko akiwaelekeza waandishi wetu jambo.
Wakati
wengine wakihangaika kujinusuru kutokana na mafuriko hayo, hawa
walipata riziki kwa kukusanya viroba vilivyozolewa na mafuriko hayo
kutoka sehemu mbalimbali na kuviuza.
Ikiwa takribani mwezi tangu mamlaka ya hali ya hewa na utabiri itoe
taarifa ya kuwepo kwa mvua kali jijini, Kamera yetu leo hii ilishuhudia
maafa makubwa katika eneo la Jangwani.
(Picha: Chande Abdallah na Denis Mtima)
No comments:
Post a Comment