Warembo
 wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya
 shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 
2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa 
Dar West Park.
 Mwalimu
 Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye 
shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa 
mazoezi.
 Warembo
 watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa 
watokelezea kwenye pozi tofautitofauti wakati wa mazoezi yanayoendelea 
eneo la Tabata Dar West Park.
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment