Barnaba Anasema Huyu Ndio Video Queen Wa Video Ya Wimbo Wake “Wahaladee”
Barnaba
anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari
ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama Steven ambaye
ni mpenzi na mama mtoto wa wa msanii Barnaba
” Sina la kuandika zaidi ya Asante wife kukubali kuwa Video Qwen Wangu kwenye #Wahaladee
Ilove uu Verry moo much….. Sema nakulipa oky, sema sio nyingi, uwii
sipati Picha apo Location … Uwiii, uwiii ,mama ndani ya shela baba ndani
ya bangoooooo. “
No comments:
Post a Comment