Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati
wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya
Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es
salaam leo Julai 25, 2014.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwela ngao kwenye mnara wakati
wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika
bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika
bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo. Wengine ni Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Waziri Mkuu Mzengo Pinda leo Julai 25,
2014.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika
bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo. Wengine toka kushoto ni
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Shariff Hamad,
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande Othman na Jaji Mkuu wa
Zanzibar Mhe omar Othman makungu leo Julai 25, 2014
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiamkiana na wazee wa Tanzania
Legion waliopigana katika vitra kuu ya dunia ya pili waliohudhuria
kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika
katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment