EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, August 12, 2014

Jeuri ya Yanga yaitesa Cecafa

Dar es Salaam. 
Baada ya kuiondoa Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limesema litaijadili na kisha kuichukulia hatua kali klabu hiyo.

Wiki iliyopita, Cecafa iliiondoa Yanga kwenye michuano hiyo inayoendelea Kigali, Rwanda.
Baraza hilo lilichukua hatua hiyo kwa kile ilichodai, Yanga ilivunja kanuni za mashindano kwa kuwasilisha majina ya kikosi cha timu ya vijana (Yanga B) badala ya timu ya wakubwa.
Katibu Mkuu wa Cecafa, Nicholas Musonye alisema jana: “Hatuwezi kuruhusu tabia kama hizi ziendelee, Yanga imekuwa ikituvuruga kila mara na hii imekuwa ikitushushia heshima.

“Yanga itajadiliwa kwenye mkutano wetu ujao na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.”
Alisema klabu hiyo mara kwa mara imekuwa na utamaduni kama huo ikiwamo kugoma kucheza.


“Hii siyo mara ya kwanza, miaka minne iliyopita ilikataa kucheza na Simba na mwaka uliopita ilikataa kushiriki mashindano haya Darfur,” alisema Musonye.
Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu alipotafutwa kwa simu kuzungumzia uamuzi wa Cecafa wa kuijadili na kuichukulia hatua, alisema: “Leo ni siku ya mapumziko, siwezi kusema lolote...niko mapumziko.”

Naye katibu mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Frederick Mwakalebela alipoulizwa kuhusuana na uamuzi wa Cecafa alisema:
“Kwa mtazamo wangu, Cecafa haina mamlaka ya kuzipatia timu aina ya wachezaji inaowataka, isipokuwa kanuni inataka mchezaji lazima awe na leseni ya kucheza ligi ya nchi husika.”
Aliongeza: “Isitoshe Yanga ilikuwa na wachezaji sita waliopandishwa kutoka timu B hadi timu ya wakubwa, pia tumekuwa tukipiga kelele vijana wapewe nafasi sasa hapo kuna ubaya gani?
Inawezekana waliona mashindano ya Kagame hayatakuwa na mvuto kwao kama Yanga ingepeleka wachezaji ambao hawana majina makubwa kama wanayoyafahamu.”

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate