Washereheshaji
wakifanya vitu vyao kwenye usiku wa onesho la mavazi kutoka kwa
wanamitindo na wabunifu mbalimbali wa nchi za kusini mwa Afrika wakiwemo
wabunifu wawili Watanzania waliopendezesha maonesho hayo.
Juu na chini ni bendera kutoka nchi washiriki zikipita kwenye ufunguzi wa maonesho hayo yaliyofanyika siku ya Ijumaa Agosti 29, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Kwa picha zaidi bofya HAPA
No comments:
Post a Comment