Kuna taarifa kuwa Yanga imemalizana na Benki ya CRDB
na huenda leo wakaingia mkataba wa awali.
Lakini Yanga imeamua kujiengua na kutafuta wadhamini
wapya huku ikifanikiwa kuwapata CRDB.
“Kweli Yanga wanaingia mkataba na CRDB na tumeambiwa
kuwa wameishafanya utaratibu wa kuvunja mkataba na TPB,” kilieleza chanzo.
Viongozi wote wa Yanga, hawakutaka kulizungumzia
suala hilo huku wakisisitiza utafanyika mkutano wa waandishi leo na mambo yote
yatawekwa hadharani.
No comments:
Post a Comment