Maelekezo Muhimu.
Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita,
Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji
wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.
Wahitimu hawa waliochaguliwa
wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa
kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili waandaliwe usafiri wa
kuwapeleka Shule ya Polisi Tanzania tarehe 30/11/2014.
Zoezi la usajili litaanza
shuleni hapo tarehe 01/12/2014 hadi tarehe 15/12/2014. Atakaefika kuanzia
tarehe 16/12/2014 hatapokelewa.
Atakaeamua kuripoti kwa Kamanda
wa Polisi ambako hakupangiwa atalazimika kujigharimia usafiri hadi Shule
ya Polisi Tanzania mjini Moshi.
Vijana hawa watalazimika kufika
shuleni wakiwa na mahitaji yafuatayo:

No comments:
Post a Comment