Mwenyekiti
Mtendaji wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) , Dkt.
Fatma Mrisho akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu Kauli Mbiu
ya Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani isemayo, Tanzania Bila
Maambukizi Mapya ya VVU, Vifo vitokanavyo na Ukimwi na Ubaguzi na
Unyanyapaa inawezekana inayolenga kupunguza maambukizi Mapya ya Ukimwi,
kupunguza vifo vitokanavyo na Ukimwi na kukomesha vitendo vya unyanyapaa
kwa asilimia Sifuri.
Mkurugenzi
wa ufuatiliaji wa Tathmini wa Ofisi ya Taifa ya kudhibiti
Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Jerome Kamwela akitoa ufafanuzi kwa
waandishi wa habari kuhusu utoaji wa huduma na upatikanaji wa dawa za
kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi kwa watu wanaoishi na VVU katika
maeneo mbalimbali nchini.

wa Sera na Mipango wa TACAIDS akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo
pichani) mbinu na elimu inayotolewa na TACAIDS katika maeneo mbalimbali
ikiwemo matumizi ya mipira ya kike kwa wanawake ili kuzuia maambukizi
mapya ya VVU.
No comments:
Post a Comment