Kaimu Mkurugenzi mkuu
na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo
kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku
60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya
katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni Mkurugenzi wa
Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na mwisho ni Ali Othman Mkuu wa
kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano.
Kaimu Mkurugenzi mkuu
na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo
katika makao makuu ya NHIF Bendera Tatu jijini Dar es salaam kuhusu
kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo, Kutoka kulia ni
Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa
Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kutoka mkushoto ni Dr Frank Lekei
(Mkurugenzi wa Tiba na masuala ya kiufundi NHIF).
Athman Rehani
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akifafanua jambo wakati wa
mkutano huo , kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya
Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na Kaimu
Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba.
Kutoka kulia ni Meneja
wa CHF Bw. Costantine Makala, Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya
Mawasiliano,Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kaimu
Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba, Athman Rehani Mkurugenzi
wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Mkurugenzi wa masoko na Utafiti
NHIF,Raphael Mwamoto na Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala ya
kiufundi NHIF).
No comments:
Post a Comment