Meneja Mipango na
Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah
Mselly (kulia) akimkabidhi msanii wa Orijino Komedi, Mjuni Silvery
'Mpoki funguo ya moja ya nyumba za gharama nafuu walizokopeshwa wasanii
wa kikundi hicho na NSSF wakati wa hafla fupi ya kukabidhi wasanii hao
zilizopo Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam hivi karibuni, mkopo huo
utalipwa kwa kipindi cha miaka 15. (Na Mpiga Picha Wetu)
Baadhi ya nyumba za
gharama nafuu zilizojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF) na kukopeshwa wasanii wa kikundi cha Orijino Komedi Mtoni Kijichi
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya nyumba za
gharama nafuu zilizojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF) zilizopo katika mradi wa ujenzi wa Mtoni Kijichi jijini Dar es
Salaam.
Mac Reagan 'Kipara' na Mjuni Silvery 'Mpoki wakiangalia moja kati ya nyumba walizokabidhiwa na NSSF baada ya kukopeshwa na Shirika hilo na mkopo utalipwa kwa kipindi cha miaka 15.
Kushoto, Mac Reagan, Joti na Mpoki wakiangalia nyumba zao walizokabidhiwa na NSSF.
Meneja Mipango na
Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah
Mselly akimkabidhi funguo ya nyumba msanii wa Orijino Komedi.
Msanii Isaya Mwakilasa 'Wakuvwanga' akipokea funguo ya nyumba yake.
Muandaaji wa vipindi vya Orijino Komedi, Sekioni David 'Seki' akipokea funguo ya nyumba yake kutoka kwa Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah Mselly (kulia)
Meneja Mipango na
Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah
Mselly akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba kwa wasanii
kikundi cha Orijino Komedi.
Msanii Mac Reagan
akizungumza baada ya makabidhiano ya nyumba za gharama nafuu
zilizojengwa na NSSF Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment