Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akiongea na waandishi wa habari.
Mshindi
wa Shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akishangilia wakati
alilakiwa na Washabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere,Jijini Dar es salaam leo
akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika mashindano
hayo.Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.
Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kati)
akijadiliana jambo na Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan
pamoja na aliekuwa mshiriki wa shindano hilo,Laveda katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Mama Mzazi wa Idris Sultan akijiandaa kumpokea mwanae.
No comments:
Post a Comment