Chama kikuu cha upinzani nchini
Nigeria kimemchagua Muhammadu Buhari kuwa mgombea wake katika uchaguzi
wa rais utakaofanyika mwezi Februari 2015.
Mtawala huyo wa zamani wa kijeshi aliwashinda wagombea wengine wanne kutoka chama cha All Progressives Congress, APC -akipata kura mara tatu zaidi ya kura za mgombea aliyepata nafasi ya pili katika uchaguzi wa chama hicho.

No comments:
Post a Comment