Mpishi
Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es
Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyochachuliwa wakati
wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana,
wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Wanajeshi wakioneshwa shayiri inayotumika kutengenezea bia
Mpishi
Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es
Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia
njia ya kisasa ya kompyuta wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya
walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la
Wananchi Tanzania (JWTZ).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment