Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ akiwa na Sabby.
Pasipo kuwataja majina, Mzee Majuto alisema mastaa hao wamekuwa
wakimsumbua kiasi cha kusababisha kero kubwa kwa mkewe na kumfanya
apoteze imani kwenye ndoa yake.“Usumbufu upo wala siwezi kuwalaumu sababu mimi japo ni mzee lakini ni mwanaume mzuri ambaye ninawavutia kutokana na mambo yangu ninayoyafanya, kimsingi wanachotakiwa kuheshimu ni ndoa yangu,” alisema Mzee Majuto.
No comments:
Post a Comment