Jay
Jay Z na Beyonce walitajwa kama wapenzi matajiri zaidi duniani wakiwa
na dolla milioni 115. Taarifa mpya ni kwamba wawili hawa wanampango wa
kununua jumba kubwa la kifahari huko Beverly Hills.Wakala anayefanya mipango ya kuwauzia nyumba hii amewaleta kwenye nyumba hii mara sita ilikuangalia kama bado wanaipenda, jumba hili limekadiriwa kuwa na thamani ya dola 85 [Bilioni 145] na linategemewa kuuzwa dola milioni 70.
Jumba lina vyumba 4, mabafu 13 na garage ya ndani ya kuweka magari 16.
No comments:
Post a Comment