 Kaimu
 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi 
akiongea katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko la
 Marekani katika Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas.
Kaimu
 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi 
akiongea katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko la
 Marekani katika Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas. Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akiwa 
pamoja na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini
 Mchungaji Peter Msigwa katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya 
utalii nchini kwa soko la Marekani.
Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akiwa 
pamoja na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini
 Mchungaji Peter Msigwa katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya 
utalii nchini kwa soko la Marekani. Kaimu
 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi 
akiwasilisha mada inayohusu vivutio vya utalii nchini katika hafla 
maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko la Marekani katika 
Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas.
Kaimu
 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi 
akiwasilisha mada inayohusu vivutio vya utalii nchini katika hafla 
maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko la Marekani katika 
Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas. Mwakilishi
 kutoka Kampuni ya Ndege ya Emirates Ndg. Akbar Hussein akiongea juu ya 
namna gani unaweza kufika Tanzania kwa kutumia usafiri wa Emirates.
Mwakilishi
 kutoka Kampuni ya Ndege ya Emirates Ndg. Akbar Hussein akiongea juu ya 
namna gani unaweza kufika Tanzania kwa kutumia usafiri wa Emirates. Mwakilishi
 kutoka Kampuni ya Ndege ya Ethiopian Airlines akiongea juu ya namna 
gani unaweza kufika Tanzania kwa kutumia usafiri wa Ethiopina Airline.
Mwakilishi
 kutoka Kampuni ya Ndege ya Ethiopian Airlines akiongea juu ya namna 
gani unaweza kufika Tanzania kwa kutumia usafiri wa Ethiopina Airline. Baadhi
 ya washiriki wa hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko 
la Marekani iliyofanyika katika Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas.
Baadhi
 ya washiriki wa hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko 
la Marekani iliyofanyika katika Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas. Kaimu
 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi 
akiongea na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla maalum ya kutangaza 
vivutio vya utalii kwa soko la Marekani iliyofanyika katika Hoteli ya 
Four Seasons jijini Las Vegas.
Kaimu
 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi 
akiongea na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla maalum ya kutangaza 
vivutio vya utalii kwa soko la Marekani iliyofanyika katika Hoteli ya 
Four Seasons jijini Las Vegas. Mwakilishi
 wa Ethiopian Airline (kati) akiongea katika hafla hiyo.Wengine pichani 
ni Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini 
Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi
 ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi.

No comments:
Post a Comment