Kichwa!
Staa bei mbaya wa sinema za Kibongo aliyejizatiti katika masomo,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake
katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo
Magogoni-Posta jijini Dar.
“Lulu yupo vizuri sana kimasomo, anawapita hadi wanafunzi wengine. Mahudhurio yake ni mazuri na anafanya mitihani yake na kufaulu.
“Anavaa nguo zinazostahili na hapa chuoni kila mwanafunzi anampenda kwa sababu yupo ‘peace’ ile mbaya,” alisema mnyetishaji huyo na kusisitiza kuwa msanii huyo haishi kama supastaa.
Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi.
Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma
na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa
akihudhuria vizuri darasani na kufanya vyema kwenye masomo yake
mbalimbali zaidi ya wanafunzi wengi anaosoma nao.“Lulu yupo vizuri sana kimasomo, anawapita hadi wanafunzi wengine. Mahudhurio yake ni mazuri na anafanya mitihani yake na kufaulu.
“Anavaa nguo zinazostahili na hapa chuoni kila mwanafunzi anampenda kwa sababu yupo ‘peace’ ile mbaya,” alisema mnyetishaji huyo na kusisitiza kuwa msanii huyo haishi kama supastaa.
No comments:
Post a Comment