EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, March 7, 2015

MTOTO WA SNURA LIVE!

BAADA ya kuficha kwa muda mrefu huku akikanusha kujifungua, hatimaye staa wa muziki wa mduara na sinema za Kibongo, Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’ ameamua kumwanika ‘live’ mwanaye aliyejifungua hivi karibuni na kutoa sababu kuu ya kufanya hivyo.
Staa wa muziki wa mduara na sinema za Kibongo, Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’akiwa na mwanaye.
Akizungumza na Risasi Jumamosi, nyumbani kwake Mwananyamala, Dar, Snura alisema kuwa yupo tayari kuonekana mbaya kusemwa lakini sababu kubwa ya kumficha mtoto wake ilikuwa ni kazi yake ya muziki ambayo anaitegemea kama baba wa familia yake.

“Ikumbukwe kuwa mimi ndiye baba  na ndiye mama wa watoto pamoja na familia yangu hivyo nililazimika kuficha kwa nia ya kuwaweka mapromota wangu ambao kama ningetangaza nina mimba wasingenipa kazi kabisa na huwezi kuamini nilikata nyonga mpaka nikiwa na miezi mitano ya ujauzito,” alisema Snura.
Snura alitiririka kuwa kwa kawaida, kwa Tanzania, mwanamke akiwa na ujauzito hasa muimbaji, kumpa kazi huwa ni vigumu hivyo alilifikiria hilo kwa upana akaona hawezi kupata kazi haraka kwani kila atakayemtaka ataambiwa ana mimba au amejifungua.“Kwa sasa nimeshakuwa fiti ‘so’ nimeamua kuweka wazi kwani nina uwezo wa kufanya kazi wakati wowote nikiitwa,” alifunguka Snura.
AKUBALIANA NA MENEJA WAKE
Alisema: “Baada ya kuona siwezi tena kupanda jukwaani, nilikaa na kumpa wazo meneja wangu (HK), tukapanga nikiuliziwa aseme nimeenda Afrika Kusini kufanya video yangu lakini ukweli nilijifungia chumbani nyumbani kwangu, chumba kilipewa jina la kwa Madiba.
Snura Mushi ‘mama wa Hawashi’ akiwa kwenye pozi.
AJIFUNGULIA PALESTINA
“Nilijifungua katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza, Dar. Ilikuwa Januari  2, 2015. Niliingia nimevaa nikabu na niliwatonya manesi kuwa nahitaji chumba cha peke yangu. Kweli walinikubalia, nawashukuru sana kwa hilo, nilipata mtoto wa kiume anayeitwa Taltham.”
MASTAA WALIOMFICHIA SIRI
Snura aliwataja mastaa waliomfichia siri na kuwashukuru kuwa ni Halima Yahya ‘Davina’ aliyefanyia arobaini nyumbani kwake, Tundaman, Amisuu Malick na wengine wachache.
Mwisho Snura aliwaomba Wabongo wamsamehe kwa kuwa alifanya hivyo kwa sababu ya kazi na amewaomba mapromota wamtafute kwani kwa sasa amekuja upya na mambo mapya huku akiwataka mashabiki watembelee ukurasa wa mtoto wake wa Instagram kwa jina la Tsnura kwa ajili ya kujionea picha zinazomuonesha kuanzia mimba mpaka mtoto alivyozaliwa.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate