Kwa
mujibu wa Wema, aliamua kumpeleka mzazi wake huyo hospitalini
(hakuitaja) ndipo alipohakikishiwa tatizo hilo ambalo limekuwa
likimsumbua kwa muda mrefu.“Kumnusuru mama yangu asipate upofu wa moja kwa moja inabidi afanyiwe operesheni ya macho,” alisema Wema kwa huzuni kwa kuwa hakuna kama mama.
No comments:
Post a Comment