Staa wa muziki
wa kizazi kipya Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amevuta mkoko
wa Kijanja wenye thamani ya ‘mkwanja wa Kibongo Milioni 60 keshi.
Akizungumza na
Teentz.com muda mfupi baada ya kupokea ‘dinga’ hiyo aina ya Land
Cruiser Prado TX kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa mpango
mzima wa kuingia kwake hapa Bongo, Diamond alifunguka kuwa alikuwa
na mpango wa kuvuta mkoko ‘dizaini’ hiyo kitambo lakini kuna mambo
kadhaa yakawa …
No comments:
Post a Comment